MWENYEKITI, LUBUVA AZIDI KUBORESHA ENEO LA JOSHO LA UBWA ILI LITUMIKE KIVUTIO CHA WATALII

 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, Zefrin Lubuva wakati alipowatembelea vijana wanaofanya kazi katika eneo la Josho la Mbwa jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya vijana hao wakiendelea kulima kwenye eneo hilo kwaajili ya kupanda majani.

Vijana waliojiriwa na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, kwaajili ya kusafisha eneo hilo.

 Vijana wakiendelea kusafisha eneo la Josho la Ubwa  leo, ambalo litakuwa  kama kivutio cha watalii baada ya kukamilika.

 Hili ni moja ya mapipa ya taka ambayo yaliyofungwa baadhi ya barabara za kwenye mtaa huo, kwaajili ya kutupa taka ili kuepuka uchafuzi wa mazingira.


Vijana hao wakiendelea na shughuri yao ya kusafisha eneo hilo, ambalo litatumika kama chanzo cha mapato kwa  mtaa huo baada ya kukamilika.

(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI BLOG).

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.

WAKULIMA WA ZAO LA VITUNGUU IRINGA WATELEKEZA MASHAMBA.