IBAADA YA JUMAPILI IJAYO MLIMANI CITY WORSHIP CENTRE (MCC).
BWANA
Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu,Habari zenu wapendwa, nawaalika Jumapili hii ya
Tarehe 7/5/2017 pale Mlimani City katika kituo cha Ibaada cha MLIMANI CITY WORSHIP CENTRE (MCC).
Ibaada hiyo ambayo hufanyika kila jumapili katika
ukumbi wa sinema uliopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, tumekuandalia ibaada
ya kusifu na kuabudu (MCC PRAISE TEAM)
na waimbaji wengi binafsi wataimba katika ibaada hiyo karibuni sana.
Hakuna kiingilio, ibaada inaaza saa 8:00 hadi 11:00 asubuhi, kila siku ya jumapili mualike na mwenzako, pia waimbaji wanaopenda kuhudumu kwenye kituo hicho wawasiliane na SILVANUS MUMBA kwa no za Simu 0713 073280, pichani.
HAKUNA KIINGILIO, BARIKIWE SANA MTUMISHI NA MGENI WANGU.
Comments
Post a Comment