MATUKIO YA IBAADA YA LEO, KATIKA KITUO CHA IBAADA CHA MLIMANI CITY WORSHIP CENTYE (MCC).
Waumini wakiimba na kucheza katika kipindi cha kusifu na kuabudu leo, katika kituo cha Ibada cha Mliman City Worship Centre
(MCC) jijini Dar es Salaam ambacho hufanyika kila jumapili kuanzia saa 8:00 hadi 5:00 asubuhi katika ukumbi wa sinema.
Waumini wakiendelea kuimba na kuabudu katika kipindi cha kusifu na kuabudu katika ibaada ya leo, katika kituo cha Ibaada cha Mliman City Worship Centre
(MCC), jijini Dar es Salam.
Waimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini,Silvanus Mumba na Jackline wakiongoza kipindi cha kusifu na kuabudu katika kituo cha Ibaada cha Mliman City Worship Centre
(MCC), ambacho hukiongoza kila ibaada ya jumapili kuanzia saa 8 :00 asubuhi.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini, Jackline akiongoza kipindi cha kusifu na kuabudu leo, katika kituo cha ibaada cha MCC .
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini, Silvanus Mumba, akiongoza kipindi cha kusifu na kuabudu leo kabla ya kuaza misa , katika kituo cha Ibaada cha Mliman City Worship Centre
(MCC) ambacho hufanyika katika ukumbi wa sinema kila siku ya jumapili.
Mwimbaji wa Injili Nchini, Kissa Mwampulule akiongoza kipindi cha kusimu na kuabudu leo, katika kituo cha Ibaada cha Mliman City Worship Centre
(MCC), kabla ya kuaza ibaada.
Waimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini wakiwa na Akofu Mkuu wa Dayosisi Kuu ya Dar es Salaam na Mkuu
wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania (KMUT), Emmaus Mwamakula, wakiimba na kucheza wakati wa kipindi cha kuimba na kumtukuza Mungu, katika kituo cha Ibada cha (MCC).
Waumini wakiendelea kusifu na kuabudu katika kipindi cha ibaada cha leo MCC. (PIACHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI BLOG). ambao hurusha matukio ya ibaada hii kila Jumapili, wote mnakaribishwa na hakuna kiingilio ni bure.
Comments
Post a Comment