MAOMBEZI YA ALHAMISI YA LEO KATIKA KANISA LA CHRISTIANI LIFE LILILOPO TEGETA NYUKI.

Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life, Eliya Peter akimuombea mmoja wa waumini wa kanisa hilo leo, katika kipindi cha maombezi ambacho hufanyika kila siku ya Alhamisi katika Kanisa hilo lililopo Tegeta Nyuki jirani na Shule ya Sekondari ya CANOSSA  jijini Dar es Salaam.


Mchungaji Mkuu wa Kanisa hilo Eliya pamoja na wahudumu wengine wa kanisa hilo wakiendelea kutoa huduma ya maombizi leo katika kanisa hilo.
Waumini waliofika leo kwenye kanisa hilo kwaajili ya maombi wakifuatilia watu wanavyofunguka katika maombezi hayo leo jijini Dar es Salaam.

 Mchungaji Mkuu wa Kanisa hilo Elia akiwa na wahudumu wengine wa kanisa hilo wakiendelea kutoa huduma leo.

 Maombezi yakiendelea leo katika kanisa hilo ambalo hutoa huduma hiyo ya maombi kila siku ya Alhamisi.

 Mchungaji Mkuu wa Kanisa hilo, Eliya akiendelea kumwombea mtu mmoja mmoja huku watumishi wa kanisa hilo wakiendelea kutoa huduma kwa watu wanaoombewa.

Watumishi wa kanisa hilo wakiendelea kutoa huduma ya maombezi kwa mtu mmoja mmoja leo.


 Mchungaji Mkuu wa Kanisa hilo akiendelea kutoa  maombezi kwa mtu mmoja mmoja leo.

 Huduma ya maombezi ikiendelea katika kanisa hilo leo.

Huduma ya maombezi kwa mtu mmoja mmoja ikiendelea leo katika kanisa hilo ambalo hutoa huduma hiyo ya maombi kila siku ya Alhamisi kaanzia saa 10:00 asubuhi.
(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI). ambao hurusha matukio ya maombezi haya kila siku ya Alhamisi.

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.

WAKULIMA WA ZAO LA VITUNGUU IRINGA WATELEKEZA MASHAMBA.