KIPINDI CHA PRAISE TEAM KILIVYOFANA KATIKA IBADA YA MCC JUMAPILI YA 7/4/2017.
Waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania waliokuwa wakiongoza katika Kipindi cha Praise Team, katika kituo cha Ibaada cha Mliman City Worship Centre (MCC), jana jijini Dar es Salaam. |
Waumini waliohudhuria ibada ya jumapili katika Ukumbi wa Sinema wa Mlimani City wakiendelea kuabudu katika kipindi cha kusifu jana jijini Dar es Salaam.
Waumini wakiendelea kusifu katika kipindi cha cha Praise Team kilichokuwa kikiongozwa na waimbaji wa injili nane kutoka Dar es Salaam na nje ya Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment