UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI YA TAIFA YA TAKWI MKOANI DODOMA UNAENDELEA.
Menejimenti
ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya ofisi
hiyo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo iliyofanyika hivi
karibuni mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo
hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.
Menejimenti ya Ofisi ya
Taifa ya Takwimu (NBS) ikikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya ofisi hiyo
wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya
ujenzi wa jengo hilo iliyofanyika hivi karibuni mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia
kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.
Taswira ya ujenzi wa jengo
la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia
kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.
Taswira ya ujenzi wa jengo
la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia
kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA NBS).
(PICHA ZOTE NA OFISI YA NBS).
Comments
Post a Comment