Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MNEC wa Wilaya ya Temeke, Phares Magesa akizungumza na wananchi walio jitokeza wakati alipokuwa akifunga tamasha la Uelimishaji wa kupinga unyanyasaji kwa mwanamke katika viwanja vya Puma kata ya Sandali. Dar es Salaam jana.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MNEC wa Wilaya ya Temeke, Phares Magesa akisalimiana na Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo (kilia) wakati alipowasili katika viwanja vya Puma kata ya Sandali Dar es Salaam jana.
Sajini wa Polisi, Mrisho Athumani (wa tatu kulia) akisalimiana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MNEC wa Wilaya ya Temeke, Phares Magesa (kushoto) wakati alipo alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Puma kata ya Sandali Dar es Salaam jana. kuanzia kulia ni Afisa Maendeleo ya Jamii, Kata ya Sandali Wilaya ya Temeke, Anuciatha Kayombo, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Zuberi Kabumaye na kushoto ni Mkurugenzi wa Hisia Threatr, Hamis Kussa
Wasanii wa kikundi cha Hisia Threater Group wakitumbuiza wakati wa kufunga tamasha la Uelimishaji wa kupinga unyanyasaji kwa mwanamke katika viwanja vya Puma kata ya Sandali. Dar es Salaam juzi
Koplo wa Bendi ya Polisi Kilwa Roard, Aleni Michael (kushoto) akitumbuiza katika tamasha la Uelimishaji wa kupinga unyanyasaji kwa mwanamke katika viwanja vya Puma kata ya Sandali. Dar es Salaam jana
Msanii wa kikundi cha Hisia, Masta Shivo , Shangar Omary akitowa burudani ya Sarakasi wakati wa tamasha la Uelimishaji wa kupinga unyanyasaji kwa mwanamke katika viwanja vya Puma kata ya Sandali. Dar es Salaam jana
Katibu wa Kikundi cha Hisia Amina Abdallah (kushoto) akimsakili mama ambaye hakupenda jina lake kutaja wakati wa tamasha la Uelimishaji wa kupinga unyanyasaji kwa mwanamke katika viwanja vya Puma kata ya Sandali. Dar es Salaam jana
Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo alipokuwa akitambulisha wageni wa meza kuu
Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo alipokuwa akizungumza jambo wakati wa
wa tamasha la Uelimishaji wa kupinga unyanyasaji kwa mwanamke katika viwanja vya Puma kata ya Sandali. Dar es Salaam jana
Afisa Maendeleo ya Jamii, Kata ya Sandali Wilaya ya Temeke, Anuciatha Kayombo akipungia mkono wananchi baada ya kutambulishwa na Afisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Engerasia Lyimo-wakati wa tamasha la Uelimishaji wa kupinga unyanyasaji kwa mwanamke katika viwanja vya Puma kata ya Sandali. Dar es Salaam jana
Wananchi wakipitia vipeperushi wakati wa tamasha hilo
Wasanii wakikundi cha Hisia wakitowa igizo mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), MNEC wa Wilaya ya Temeke, Phares Magesa
|
Afisa Maendeleo ya Jamii, Kata ya Sandali Wilaya ya Temeke, Anuciatha Kayombo akizungumza jambo |
Mgeni rasmi akijisajili katika kitabu cha kupinga ukatili kwa wanawake, kulia ni Katibu wa Kikundi cha Hisia Amina Abdallah
Comments
Post a Comment