KARIBU KWENYE UZINDUZI WA TAMASHA LA NYIMBO ZA INJILI MAY 7, 2017, EAGT-MITO YA BARAKA JIJINI DAR ES SALAM.

  
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Christina Mbilinyi katika akiwa na baadhi ya waimbaji kwenye picha ya pamoja.
Christina Mbilinyi akiwa anatumbuiiza kwenye moja ya matamasha jijini Dar es Saalam hivi karibuni.

 Christina akitumbuiza nyimbo za injili kwenye moja ya kanisa hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
  
Mwimbaji wa Injili Christina anayetarajia kuzindua albamu mbili za nyimbo za injili May 7/ 2017.

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.

WAKULIMA WA ZAO LA VITUNGUU IRINGA WATELEKEZA MASHAMBA.