ANGALIA JINSI HUYU MAMA NA MTOTO WANAVYOFANYIWA UKATILI WA KIJINSIA NA MUME WAKE.



 Mwanakikundi cha Hisia Threatr akiwa na mtoto wake alivyoigiza jinsi gani, wanawake wanavyofanyiwa ukatili wa kijinsia na waume zao lakini wamekuwa wasiri kutoa taarifa kwenye vituo vya misaada ya kisheria na kwa jamii inayowazunguka. 


Hawa ni baadhi ya jirani ambao walikuja kumsaidia mwanamke huyo kwa ukatili anaofanyiwa na mume wake, lakini mwanamke hakuwa tayari kutoa taarifa juu ya mme ambaye amekuwa akiwafanyia ukatili huo yeye na mtoto wake.


Hawa ni baadhi ya viongozi wa kisheria ambao walikuja kumwokoa mwanamke huyo juu ya vitendo anavyofanyiwa na mume wake, lakini mwanamke kutokana na kutokuwa na elimu juu ya ukatili wa kijinsia aliendelea kumtetea mume wake
.(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI BLOG).

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.