MATUKIO YA IBAADA YA LEO, KATIKA KITUO CHA IBAADA CHA MLIMANI WORSHIP CENTRE (MCC).
ASKOFU Mkuu wa Dayosisi Kuu ya Dar es
Salaam na Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania (KMUT), Emmaus
Mwamakula,akimusimika Shemasi Mlei Neema Mwaipopo aliyepiga
magoti katika kituo cha Ibada cha Mliman City
Worship Centre (MCC), leo.
Picha ya pamoja baada ya kusimikwa kwa Mlei Neema, wa pili kutoka kushoto.
Askofu Mwamakula akimtambulisha Mwinjilisti Martini Kajituel akiwa na mke wake leo, walioshiriki ibaada ya leo katika kituo cha MCC.
Askofu Mwamakula akiwa amepiga magoti kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watoto waliofika kuabudu leo kwenye kituo cha ibaada cha MCC.
Mwinjilisti Martini Kajituel akitoa mahubili leo katika kituo cha ibaada cha MCC, na somo la leo limetoka katika kitabu cha Luka 8: 43-48.
Waumini wakiendelea kusifu katika kipindi cha Sifa leo, katika kituo cha ibaada cha MCC.
Waumini wakiendelea kusifu na kuabudu katika kipindi cha sifa leo.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini, Silvanus Mumba akiongoza kipindi cha sifa leo katika kituo cha Ibaada cha MCC.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini , Kissa Mwampulule akiongoza kipindi cha sifa leo.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini, Herieth Ungele akiwa na mtoto wake Jennipher Allan wakiongoza kipindi cha sifa leo katika kituo cha ibaada cha MCC.
(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI BLOG).
Hongereni kwa huduma. Mungu awabariki
ReplyDelete