Waimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania, Richard Mmari pamoja na mke wake Christina Seme wakiimba nyimbo katika ibaada ya leo ya kituo cha Ibada cha Mliman City Worship Centre (MCC) , jijini Dar es Salaam . Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania John Mgina maarufu kama Kichaa wa Yesu akiimba kwenye madhabahu ya MCC leo . Waumini wakiendelea kuimba katika kipindi cha sifa katika kituo cha ibaada cha MCC leo. Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania, Dk. Isaya Msangi (MD), akiimba mbele ya madhabahu ya mlimani City, ambapo hufanyika ibaada kila siku ya jumapili kuanzia saa 8:00 hadi 11:00 kwenye ukumbi wa sinema uliopo ndani ya jengo la Mlimani City jijini Dar es Salaam, kituo hicho ambacho kimeanzishwa kwaajili ya kutoa huduma ya maombezi kwa madhehebu yote na hakuna kiingilio. Waimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania, wakiongoza kipindi cha siafa leo, katika kituo cha ibaada cha MCC kushoto Christina Seme, katikati ni Jackline Skamwa na kulia...
Comments
Post a Comment