KIKUNDI CHA HISIA KILIVYOWEZA KUBURUDISHA NA KUTOA ELIMU UPINGAJI WA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE.
Msanii wa Kikundi cha Hisia Threatr, Omari akionyesha mchezo wa ringi barans kwenye kampeni ya Tunaweza ya kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake jana, katika Kata ya Sandali viwanja vya Puma.
Wasanii wa kikundi cha Hisia Threatr wakionyesha michezo mbalimbali katika kamepini hiyo jana.
Viongozi wa Kata ya Sandari na Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa Wilaya ya
Temeke, Phares Magesa (MNEC), wakipiga picha na wasanii wa kikundi cha hisia ambao wameshika mmoja wa nyoka ambaye humtumia kwenye michezo mbalimbali.
Vijana wa kikundi cha hisia wakiendelea kuonyesha mbwembwe za kuchezea nyoka huyo jana.
(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI BLOG).
Comments
Post a Comment