WABUNGE WAPEWA CHANJO YA HOMA YA MANJANO, VYETI VIPYA.


Image may contain: 4 people, people sittingNa Mwandishi Maalumu, Dodoma

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo imeanza kutoa Chanjo ya homa ya manjano kwa wabunge.
 Image may contain: 2 people, people sitting
Pamoja na hilo, pia imebadilisha vyeti vya zamani vya Chanjo hiyo kwa wabunge.
 Image may contain: 2 people, people standing
Hilo limefanyika huko mjini Dodoma.Image may contain: one or more people and indoor

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.