RAIS DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO MKOAN KILIMANJARO.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Kmnda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Bw. Hamisi Issa alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais Dkt. Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais Dkt. Magufuli akilakiwa na Waziri Mkuu , Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongiozana na Waziri Mkuu, Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokwa alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu, Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais Dkt. John Pombe Magufuli aiiongiozana na Waziri Mkuu ,Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wana UVCCM alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Bomang'ombe Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza changamioto za wananchi wa Kwa Sadala Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Kijana akiwa kabebwa mgongoni akirekodi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo wa kutotoza ushuru wachuuzi kwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Hai Bw. Yohana Sintoo wakati akiongea na wananchi wa Kwa Sadala waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017

Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm akimshangilia Rais Magufuli alipoongea na wananchi wa Karanga
Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm akisalimiana na Rais Magufuli aliposimamishwa kuongea na wananchi wa Karanga
Rais magufuli akiwa na Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm eneo la Karanga
Rais magufuli akiwa na Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm akisalimiana na wanafunzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini
Wananchi wa Kibololoni wakimshangilia Rais Magufuli
Wananchi wa Kibololoni wakimshangilia Rais Magufuli
Rais Dkt. Magufuli akiongea na Wananchi wa Kibololoni.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment