MATUKIO YA IBAADA KATIKA KITUOA CHA MLIMANI CITY WORSHIP CENTRE(MCC).
ASKOFU Mkuu wa Dayosisi Kuu ya Dar Es Salaam na Mkuu
wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania (KMUT), Emmaus Mwamakula, akimsimika Shemasi Irene Mbalwa aliyepiga magoti, katika kituo cha Ibada cha Mliman City Worship Centre
(MCC),kulia ni Shemasi Monalisa Kossana.
Askofu Mwamakula, akiwa mbele ya mathabahu akiwabariki waumini, hawapo pichani.
Askofu Mwamakula akiwa mbele ya madhabahu katika ukumbi wa Mlimani City leo jijini Dar Es Salaam.
Waumini wakisikiliza mahubiri yakiendelea katika ibada ya leo katika ukumbi huo.
Picha ya pamoja baada ya Shemasi Irene Mbalwa kusimikwa katika kituo hicho cha ibaada ya leo,katika Askofu Mwamakula na kulia ni Shemasi Monalisa Kossana.
Waumini wakiwa kwenye sifa katika ibaada ya leo iliyofanyika kwenye ukumbi huo.
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Kissa Mwampulule akiwa katika kipindi cha sifa leo katika ibada hiyo.
Askofu Mwamakula akimbariki Shemasi Mbalwa baada ya kusimikwa leo.(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI BLOG).
Amen Bwana anafanya utukufu wake uinuke mpaka pahala pajuu katika enzi ya ufame wake, Mungu aendelee kuiinua huduma hii... Jumapili hii nitakuwepo katika Praise, na nitaongoza Team yangu kuiinua ibada hii ya Askofu Mwamakula
ReplyDelete