HABARI ZA BIASHARA NA MAISHA NI HABARI.

Mfanyabiashara wa matunda Jairosi Jastini,akipanga matunda katika eneo la Mbuyuni njia panda ya kunduchi, Dar es Salaam leo,kwaajili ya kuwauzia wateja.
Jairosi Jastini akiendelea kupanga matunda aina ya mapapai ambayo anauza kwa sh. 1500 hadi 2000 kwa kila moja.

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.