WABUNGE WAJIPANGA KUMKARIBISHA MCHUNGAJI RWAKATARE 'MJENGONI'

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjvqqD_QO-khAoLOZq5onrgvsEy2WyJcM5ZCg0Z1spZktp9U-DIkJ3rEb-HZln9mwv1GW0PzOaaQoIBdB8VASYQKAU0qNsDMucKcUnSjRdHJ08UQkpOew7MMX-BTmJYUAW3JaOy7IurT3jm/s640/DSCN9851.JPG 
*Picha na Mtandao.
 
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Marry Mwanjelwa amesema amepokea simu nyingi za wabunge mbalimbali wakimpa pongezi, kufuatia uteuzi wa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni B Assembles of God, Dk. Getrude Rwakatale.
 Image may contain: text
Mwanjelwa alisema hayo jana alipokaribishwa kuwasalimia waumini wa kanisa hilo katika ibada ya sikukuu ya pasaka.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0zGRaTO80aBsdvbvlIL_A2yLR1vJWUi-uIFRCGqUFpRgVQ03hgbYzuRpWp6GembTVZTIp9AwmHtrT14DOlAM_yUPO-Ab18zFp2EsL6gmhzea39XyYFA8x5X1QfDUGXAsU50La068Ez1g/s1600/mamarwakatare%255B1%255D.jpg
"Wabunge wote wanajua kwamba mimi ni mtoto wa mama (Rwakatale) ni muumini wa mlima wa moto, wamefurahi mno waliposikia Rais John Magufuli amemteua kuwa mbunge, na kwa pamoja tumejiandaa kukupongeza (Mchungaji) ukija Bungeni," aliweka wazi.

MCHUNGAJI RWAKATARE AMSHUKURU JPM

https://jewajua.com/wp-content/uploads/2013/10/Mchungaji-Getrude-Rwakatare.jpgNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto lililopo Mikocheni B, Assembles of God, Dk. Getrude Rwakatale, amemshukuru Rais Dk. John Magufuli kwa kumkumbuka na kumteua katika nafasi ya ubunge wa Viti Maalumu.

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.