KONGAMANO LA PASAKA LA UKWATA LAZINDULIWA KISARAWE MKOANI PWANI JANA.

ASKOFU  Mkuu wa Dayosisi Kuu ya Dar es Salaam na Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania (KMUT), Emmaus Mwamakula,akizungumza na baadhi ya wanafunzi waliohudhuria kongamano hilo,kutoka Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani.

ASKOFU  Mkuu wa Dayosisi Kuu ya Dar es Salaam na Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania (KMUT), Emmaus Mwamakula,akizungumza na Mwinjiliti wa Kanisa la Moravian la Uamusho Usharika wa Golani, Hans Butuntu jana, baada ya ufunguzi wa Kongamano hilo ambalo linaendelea kwenye Shule ya Sekondari St. Junior Seminary iliyopo Kisarawe Mkoani hapo.
Baadhi ya Wanafunzi kutoka katika Shule za Sekondari mbalimbali wakielekea katika Ukumbi wa Kongamano hilo jana.(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI)

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.