MWIMBAJI WA INJILI CHRISTINA AKITUMBUUZA KWENYE HAFLA HIYO YA UFUNGUZI WA MABWENI NA HARAMBEE YA KITUO HICHO.

 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Mbilinyi akitumbuiza nyimbo kwenye hafla hiyo, iliyofanyika kwenye kituo hicho Bagamoyo Mkoani Pwani.

 Christina Mbilinyi akiendelea kutumbuiiza kwenye hafla hiyo leo.

Mwimbaji Mbilinyi akiimba kwa hisia, akiwa na baadhi ya wadau walioshiriki kwenye hafla hiyo.(PICHA ZOTE NA MAISHA NI HABARI BLOG).

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.

WAKULIMA WA ZAO LA VITUNGUU IRINGA WATELEKEZA MASHAMBA.