WAZIRI KAIRUKI AFUNGUA SEMINA YA TAKWIMU HURIA
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki akizungumza na
wadau wa takwimu wakati wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi
wa COSTECH jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya
Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia Tanzania.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na wadau wa takwimu wakati
wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es
Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa kushirikiana
na Benki ya Dunia Tanzania.
Mkurugenzi
wa Usimamizi wa Huduma za Umma na Utendaji kutoka Benki ya Dunia Tanzania akizungumza na wadau wa takwimu wakati
wa semina ya Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es
Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Benki ya
Dunia Tanzania.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Angela Kairuki akielezea
umuhimu wa takwimu kwa waandishi wa habari mara baada ya kufungua semina ya
Takwimu Huria iliyofanyika katika ukumbi wa COSTECH jijini Dar es Salaam.
Semina hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na
Benki ya Dunia Tanzania.
Comments
Post a Comment