SKAMWA KUZINDUA ALBAM YA MCHUMU YESU JULAI 2,2017.

Njooni, Tumsifu anayestahili sifa,,,,,
Karibu tumwabudu yeye anaeketi kwa wamwabuduo halisi.

 Karibu tushirikiane na watumishi wa Mungu katika ibada ya kusifu na kuabudu ikiwa ni pamoja na kuzindua wa albam ya nyimbo za injili ya Jackiline Skamwa.

Albam hii itazinduliwa katika Kanisa la OHM Ubungo kwa Mchungaji Ntepa nyuma ya Ubungo Plaza karibu Mungu anaketi kwenye sifa njooni tuseme naye.

Comments

Popular posts from this blog

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

BELENG’ANYI, MBUNIFU MWENYE MALENGO YA KUTENGENEZA MGODI WA KUFUA UMEME.