POKEA MAOMBEZI YA UPONYAJI NA KUFUNGULIWA KATIKA KITUO CHA IBADA CHA MLIMANI CITY.
MKUU wa Kanisa la Morovian la Uamsho Tanzania (KMUT), Mhashamu Askofu Emmaus Mwamakula
anawakaribisha wote katika ibada za sifa na maombezi ya uponyaji na kufunguliwa
.
Aidha ibada ya maombezi hayo hufanyika kila siku ya
jumapili katika vituo vya Mlimani City Worship Centre (MCC) katika ukumbi wa
sinema uliopo ndani ya jingo la Mlimani City.
Pia maombezi hayo hufanyika katika Kanisa la
Morovian la Usharika wa Golan eneo la Kimara Suka na Kanisa la Morovian la Uamsho Tanzania Ushirika wa Mbweni eneo la Boko Magengeni.
Ibada ni saa 8:00 hadi 11:00 asubuhi kwa mawasiliano
zaidi piga simu 0767086884.
Matukio
ya ibada ya jumapili kituo cha MCC, hutolewa katika
(MAISHA NI HABARI BLOG).
(MAISHA NI HABARI BLOG).
Comments
Post a Comment