NBS YAKUTANA NA WADAU WAKE IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.
Mkurugenzi
wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)
akizungumza na wadau wa takwimu hawapo pichani wakati wa kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa
ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
Mdau
wa Takwimu kutoka REPOA akitoa maoni yake wakati wa kikao
cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
Baadhi
ya Wadau wa Takwimu kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC)
wakimsikiliza Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya
Taifa ya Takwimu (hayupo pichani) wakati wa kikao
cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na
ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
Baadhi
ya Wadau wa Takwimu waliohudhuria kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili
ya kuboresha huduma zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni,
2017.
Comments
Post a Comment