ANGALA HUDUMA YA MAOMBEZI KATIKA KANISA LA CHRISTIAN LIFE JANA.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tefeta Nyuki karibu na Hostel za Shule ya Sekondari Cannosa, Eliya Peter akiendelea kutoa maombezi jana ambapo somo lilikuwa linasema unavyopaswa kufanya wakati unapoelekea katika mafanikio yako.
Mtumishi Mkuu Eliya akiendelea kutoa huduma ya maombe kwa mtu mmoja mmoja jana.
Waumini waumini wakiwa wamezama kwenye maombi katika maombi ya jana katika Kanisa la Christian ambayo jana yalikuwa ni maombezi muhimu kwa wale wenye shinda mbalimbali.
Mchungaji wa Kanisa hilo, Edward Mwikonzi akiendelea kutoa huduma ya maombezi kwa mtu mmoja mmoja jana.
Mchungaji Mwikonzi akiendelea kutoa huduma ya maombezi.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa hilo, Eliya akiendelea kutoa huduma ya maombezi kwa mtu mmoja mmoja jana.
Mchungaji Mkuu Eliya akiendelea na huduma ya maombezi jana.
Maombezi ya wote yakiendelea jana katika Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Nyuki ambalo hutoa huduma hiyo ya maombi kila siku ya Alhamis kuanzia saa 9:00 asubuhi.
(PICHA ZOTE NA KANISA LA CHRISTIAN LIFE)
Comments
Post a Comment