Posts

SERIKALI YAREJESHA KAMBI TANO ZA JKT ZILIZOKUWA ZIMESITISHA MAFUNZO YA JESHI.

Image
  Na Mwandishi Wetu, Mafinga. SERIKALI   imerejesha kambi tano   za JKT  zilizokuwa zimesitishwa mafunzo ya jeshi   hilo ili kuongezea uwezo zaidi wa kuchukua vijana na kuwajengea uwezo wa kuwa hodari,watiifu na waaminifu katika kambi zake. Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii JKT Taifa   Luten kanal Anchilla Kagombola kwa niaba ya  Mkuu wa Jeshi hilo meja jenarali Michael Isamuyo kwenye  hitimisho la mafunzo ya vijana wa kujitolea (JKT) kikosi 841 KJ mafinga operation.   Kambi zilizorejeshwa ni  kambi 826 KJ Mpwapwa Dodoma, kambi 839 KJ Makuyuni Arusha, kambi ya 845 Itaka Songwe,846 Luha Rukwa na kambi 847 Milundokwa Rukwa na kati ya kambi hizo kambi la Makuyuni Arusha tayari  wa meshaanza kuchukua vijana na wanaendelea na mafunzo. Kagombola alisema  ni Imani ya Mkuu wa JKT kuwa serikali inazidi kutoa mchango wa hali na mali ili kuzidi kuboresha miundombinu ...

SOMA MAGAZETI YA JUMATANO LEO, JUNE 28,2017.

Image

SOMA MAGAZETI YA JUMANNE LEO, JUNE 27,2017.

Image